Timu ya Simba SC jana ilishinda mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa kwa goli 2-0 dhidi ya timu ya URA FC ya Uganda mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Taifa.
Hapa nimekuwekea picha zikionesha matukio mbalimbali wakati mcheo huo ulivyokuwa ukiendelea.
Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza
Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili
Comments
Post a Comment