Kosa alilolifanya Thiago Silva ni kusema kwamba Di Maria anajiunga na club kubwa akitokea Manchester united. Maana yake ni kwamba PSG inaonekana kuwa kubwa zaidi ya Manchester united ambapo kinamba hata kiushabiki sio kweli.
Akiwa anaongea na vyombo vya habari Silva alisema kwamba watu wanatakiwa kuheshimu PSG kama club kubwa, ukizitoa Real Madrid na Barcelona hizo zipo kwenye level nyingine lakini kama unajiunga na PSG basi utakua unaenda step moja mbele.
Maneno hayo yalichukuliwa kama PSG ni club kubwa zaidi ya Manchester United. Kwenye namba hata ukubwa wa thamani ya club. Baada ya hapo mashabiki wa Manchester wakaanza kumuandama Silva kwenye social media kama hivi.
Comments
Post a Comment