Nahodha wa United, Wayne Rooney akiwasili Hotelini
Baada ya kukosa michuano ya Ulaya msimu iliopita, leo usiku Manchester United wanacheza mechi ya kwanza ya raundi ya mwisho ya mtoano dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji.
Wachezaji wa Man United jana waliwasili Hoteli ya kifahari ya Lowry tayari kujiandaa na mechi hiyo ya kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Uefa Champions League ambayo inachezwa Old Trafford kuanzia majira ya saa 3:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
RATIBA NZIMA YA MECHI ZA LEO ZA UEFA
Comments
Post a Comment