KIKOSI CHA CHELSEA 2015/16 MABADILIKO YA NAMBA ZA JEZI YATOKEA


KIKOSI CHA CHELSEA 2015/16 MABADILIKO YA NAMBA ZA JEZI YATOKEA

Mkiwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya hapa na pale, kama kawaida
timu mbalimbali zikiwa zinakaribia kukamalisha usajili, baadhi ya timu
zimeanza mapema kutangaza vikosi vyao…

Hatimaye timu ya Chelsea imetangaza kikosi chake pamoja na namba za
jezi zake ikiwa ni masaa machache kabla ya mechi yao dhidi ya Arsenal.
Miongoni mwa mabadiliko yaliyotokea ni Juan Cuadrado kupewa jezi namba
11 kutoka ile 23 aliyokuwa anavaa msimu uliopita. Kumbuka jezi hii
alikuwa anavaa Drogba. Pia mlinda mlango mpya Asmir Begovic amerithi
jezi namba 1 iliyokuwa inavaliwa na Czech. Falcao naye kapewa jezi
namba 9., Hapa chini ni kikosi na namba za jezi za wachezaji wote.
terry
1 – Asmir Begovic
2 – Branislav Ivanovic
4 – Cesc Fabregas
5 – Kurt Zouma
6 – Nathan Ake
7 – Ramires
8 – Oscar
9 – Radamel Falcao
10 – Eden Hazard
11 – Juan Cuadrado
12 – John Mikel Obi
13 – Thibaut Courtois
14 – Bertrand Traore
18 – Loic Remy
19 – Diego Costa
20 – Victor Moses
21 – Nemanja Matic
22 – Willian
24 – Gary Cahill
26 – John Terry
27 – Jamal Blackman
28 – Cesar Azpilicueta
29 – Nathaniel Chalobah
34 – Ola Aina
35 – Dominic Solanke
36 – Ruben Loftus-Cheek
37 – Jake Clarke-Salter



Comments