Baadhi ya wanamichezo walijittokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa na vyama vyao ili waweze kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya wanamichezo ambao tayari majina yao yamepitishwa kugombea nafasi za Ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). 1. Frederick Mwakalebela-Ubunge (Iringa)
2. Majaliwa Mbasa –Udiwani (Mwanza)
3. Yusuph Manji -Udiwani (Mbagala)
4. Said Fella-udiwani (Mbagala)
5. Idd Azan ubunge (Kinondoni)
6.Fenela Mukangara-Ubunge (Kibamba)
Kwa upande wa aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Aden Rage yeye hajafanikiwa kupita kwenye kura za maoni jimbo la Tabora mjini.
Comments
Post a Comment