BAADA YA AZAM KUTWAA UBINGWA, HII NDIO ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSHINDA TUZO BINAFSI



BAADA YA AZAM KUTWAA UBINGWA, HII NDIO ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSHINDA TUZO BINAFSI

Azam bingwa 9Baada ya Azam FC kutwaa kombe la Kagame na kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu Azam ilipoanzishwa mwaka 2007. Kombe hilo la Kagame linakuwa ni kombe la tatu kwa Azam mbali ya yale ya ubingwa wa ligi waliyoshinda mwaka 2013 na 2014.

Mbali na Azam kushinda kombe hilo kuna wachezaji walioshinda tuzo zao binafsi baada ya kufanya vizuri kwenye mashindano hayo, wafuatao ni wachezaji walioshinda tuzo hizo.

MVP (Most Valuable Player)- Pascal Serge Wawa (Azam)

Golikipa bora-Boniface Oluoch (Gor Mahia)

Beki bora-Pascal Serge Wawa (Azam)

Mfungaji bora- Michael Olunga (Gor Mahia) amefunga magoli matano (5)



Comments