AZAM FC WAKIJINOA ZENJI KUELEKEA KUWAKABILI YANGA NGAO YA JAMII



AZAM FC WAKIJINOA ZENJI KUELEKEA KUWAKABILI YANGA NGAO YA JAMII
 1
Azam FC leo inacheza mechi ya kirafiki na KMKM kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar kuanzia saa moja usiku. 
Mechi hiyo itaoneshwa moja kwa moja  na Channel 100 ya Azam TV
Ratiba kamili ya mechi za kirafiki huko Zanzibar ni
Leo Jumatano 12/08/15 Azam FC vs KMKM , mechi itaanza saa 1:00 usiku
Jumamosi 15/08/2015 Azam FC vs Mafunzo, mechi itaanza saa 1:00 usiku.
Jumatatu 17/08/2015 Azam FC vs JKU itaanza saa 1:00 usiku.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 



Comments