Kenedy (kulia) akichuana na              Cesc Fabregas
        Nyota            kinda wa Brazil,  Kenedy ni miongoni mwa wachezaji 24 wa            Chelsea waliofanya mazoezi jana mjini Montreal, Marekani.
        Chelsea            chini ya kocha Jose Mourinho imeanza kutafuta kasi ya kutetea            ubingwa wake wa ligi kuu England msimu ujao.
        Katika            mazoezi ya jana, Kenedy aliongezwa katika kundi la wachezaji            wa kikosi cha kwanza na tayari klabu yake ya  Fluminese ya            Brazil imemruhusu kijana huyo mwenye miaka 19 kujiunga na            machampion wa EPL.
        Ada            ya uhamisho wake kutua Stamford Bridge itakuwa paundi milioni            6.3
        Kenedy (kulia) akiwa na              Wabrazil wenzake,  Ramires na Diego Costa,
        Mchezaji bora wa mwaka Eden              Hazard alikuwepo pia
         Diego Costa akipiga              matizi
        Jose Mourinho akiwapa              maelekezo vijana wake 24 kwenye mazoezi yaliyofanyika jana              Montreal Impact Training Centre 
        Mlinzi raia wa Serbia,               Branislav Ivanovic  akipiga selfie na mashabiki wawili 
        Nahodha,              John Terry naye kama kawaida
        
Comments
Post a Comment