Memphis Depay ameungana na wachezaji wenzake wa Manchester United ikiwa ni mara yake ya kwanza kutinga mazoezini tangu alipojiunga na timu hiyo kwa pauni milioni 25 akitokea PSV.
Winga huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa mchezaji pekee mpya kutinga Carrington wakati kikosi cha Louis van Gaal kilipoanza mazoezi Jumatatu tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.
Winga huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa mchezaji pekee mpya kutinga Carrington wakati kikosi cha Louis van Gaal kilipoanza mazoezi Jumatatu tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.
Memphis Depay (wa pili kutoka kulia), Wayne Rooney (kushoto), Phil Jones (kulia) na Michael Carrick wakiwa mazoezini
Luke Shaw (katikati) na Depay wakiwa kwenye ari kubwa mazoezini chini ya kocha Louis van Gaal
Katika kipindi chote cha maandalizi ya msimu mpya, Depay atavaa jezi No 26 iliyokuwa ikivaliwa na Shinji Kagawa
Comments
Post a Comment