Sentahafu wa Manchester City Eliaquim Mangala anayejulikana kwa              urefu wake wa futi 6 na inchi 2, alijukuta akijiona mfupi              kupindukia pale aliposimama sambamba na staa wa basketball Timofey Mozgov wa Cleveland Cavaliers.
        Mangala yupo mapumzikoni Miami              huko Marekani ambapo alipata wasaa wa kupiga picha ya pamoja              na Mozgov, 28 mwenye              urefu wa futi 7 na inchi 1. 
         Eliaquim Mangala              (kulia) akiwa na Timofey Mozgov
        Mangala katika mechi ya              msimu ulipita dhidi ya Newcastle
        
Comments
Post a Comment