Hatimaye nahodha            wa Arsenal Mikel Arteta ameondoa ukungu uliotanda juu ya hatma            yake Emirates baada ya kusaini mkataba mpya.
          
          
        Hatua hiyo            inamfanya Arsene Wenger apunguze kasi yake ya kusaka kiungo            mpya mkabaji kiangazi hiki.
          
          
        Arteta, 33,            alikubali dili la mwaka mmoja miezi kadhaa iliyopita lakini            kuchelewa kwake kusaini mkataba huo kukazua mashaka mengi kuwa            huenda anaondoka Arsenal kiangazi hiki.
        Mikel Arteta                amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja Arsenal
        
Comments
Post a Comment