Mama mzazi wa Sergio Ramos, Paqui Garcia amefanya            mahojiano huku akiwa anaendesha gari na kuziambia Camera za TV            kwamba; 
        Sergio quiere quedarse en el Madrid (Sergio wants              to stay in Madrid) yaani Sergio anataka kuendelea kukaa              Madrid
         "Sergio quiere quedarse en el Madrid". Habla la            MADRE de Sergio Ramos: http://bit.ly/1j5mmes  #Jugones pic.twitter.com/GOz3qBWgDj
        Maneno ya Paqui Garcia yanaweza kuwa kweli, lakini            Ramos bado anaweza kujiunga na Man United majira haya ya            kiangazi.
        Awali Gazeti la Marca lilienda ndani zaidi na            kuchunguza mkataba wa Sergio Ramos katika klabu ya Real Madrid            ambapo lilifichua kwamba mlinzi huyo anahitaji mshahara wa            euro milioni 10 kwa msimu, wakati Real wanataka kumlipa euro            milioni 7.5.
        Kama ripoti hizo ni kweli, Ramos anaweza kuendelea            kusalia Madrid endapo wataongeza dau, lakini kama watashinda,            halafu Man United wakafikisha mzigo, basi atatimkia Old            Trafford.
        
Comments
Post a Comment