Chelsea imefanikiwa kumnasa mshambuliaji hatari wa Brazil Kenedy aliyekuwa akiwindwa pia na Manchester United.
Imeelezwa kuwa Kenedy amefanya vipimo vya afya jana tayari kukamilisha usajili wake wa pauni milioni 6.3.
Inaaminika kuwa mashambuliaji huyu mwenye umri wa miaka 19 kutoka klabu ya Fluminense, anaanguka mkataba wa miaka mitano Stamford Bridge.
Kenedy katika moja ya majukumu yake kwenye timu ya taifa ya Brazil
Kenedy akishangilia moja ya magoli yake aliyoifungia klabu ya Fluminense
Kenedy akiitumikia U20 ya Brazil
Comments
Post a Comment