BARCELONA YASHINDA MBIO ZA KUSMAKA ARDA TURAN ALIYEKUWA AKIWANIWA NA CHELSEA



BARCELONA YASHINDA MBIO ZA KUSMAKA ARDA TURAN ALIYEKUWA AKIWANIWA NA CHELSE
Barcelona imeshinda mbio za kumsajili kiungo mchezashaji wa Kituruki Arda Turan kutoka Atletico Madrid.
Ingawa dili bado halijakamilika, lakini imethibitishwa kuwa Barcelona imefikia makubaliano ya kumnunua kiungo huy0 kwa pauni milioni 24.
Barcelona imeandika kupitia mdandao wa rasmi kuwa vilabu hivyo viwili vimefikia makubaliano juu ya saini ya Arda Turan.
Hata hivyo kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28 aliyekuwa pia akiwaniwa pia na Chelsea na Manchester United, hataweza kuichezea Barcelona hadi mwezi  Januari  kutokana na klabu hiyo kufungiwa na na FIFA.
Arda Turan
DONE DEAL: Arda Turan anajiunga na Baracelona



Comments