Jack Wilshere, Alex            Oxlade-Chamberlain na Per Mertesacker ni mingoni mwa nyota wa            Arsenal waliorejea Jumanne tayari kwa maandalizi ya msimu            mpya.
        Mchana huo bosi wa             Arsenal Arsene Wenger akawatupa wachezaji wake kwenye uwanja            wao wa mazoezit London Colney. 
        Sehemu kubwa ya            wachezaji wa kikosi cha kwanza ilirejea mazoezini ikiwa ni            sehemu kujiandaa na safari Singapore kwenye michuano ya            kujipima nguvu iliyopewa jina la Asia Trophy. 
         Jack Wilshere, Alex              Oxlade-Chamberlain na Mathieu Flamini wakipimana ubavu wa              mbio
        Wilshere na kinda Dan              Crowley 
        Kocha Arsene Wenger              akisema neno na Crowley 
        
Comments
Post a Comment