WOJCIECH SZCZESNY ACHEZA NA TIGER KUSAKA MAKALI MAPYA ARSENAL


WOJCIECH SZCZESNY ACHEZA NA TIGER KUSAKA MAKALI MAPYA ARSENAL
Wojciech Szczesny anatarajiwa kuonyesha makucha yake upya katika msimu ujao baada ya kuchezea benchi Arsenal msimu uliopita.
Katika kusaka makali mapya, kipa huyo wa kimataifa wa Poland, anatuliza akili yake mapumzikoni huko Thailand ambapo alipata wasaa wa kucheza na tiger.
Szczesny akatupia picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa sambamba na demu wake huku akiwa anamkokota tiger aliyefungwa mnyororo shingoni.

Arsenal                    goalkeeper Wojciech Szczesny takes his 'new baby'                    tiger for a casual stroll during his holidays 
Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny ambaye yuko mapumzikoni akicheza na tiger 
Szczesny poses                    for a picture with his girlfriend Marina Luczenko                    during his holiday in Thailand 
Szczesny akipozi na  kipenzi chake  Marina Luczenko mapumzikoni huko Thailand 
Szczesny (far                    right, pictured on the bench) lost his place to David                    Ospina during the second half of last season
Szczesny (kulia, akiwa benchi)  alipoteza nafasi take kwa  David Ospina katika nusu ya pili ya msimu uliopita
The Poland                    international celebrates during Arsenal's emphatic 4-0                    FA Cup final win over Aston Villa
Szczesny kipa wa kimataifa wa  Poland akishangilia moja ya mabao ya Arsenal
Petr Cech is                    closing in on a move to Arsenal after the Gunners                    agreed an £11m fee with rivals Chelsea
Petr Cech anakwenda  Arsenal, nafasi ya Szczesny ipo mashakani
Fenerbahce                    target David Ospina looks set to make way for the                    impending arrival of veteran goalkeeper Cech
Fenerbahce inamtaka David Ospina anayetakiwa kumpisha  Cech ...je Szczesny ataweza kuchuana na Cech?






Comments