WEST HAM YANASA KIUNGO WA UFARANSA



WEST HAM YANASA KIUNGO WA UFARANSA

11231270_619265734877559_751627729987056588_n

West Ham wamemsajili kiungo kutoka Ufaransa Dimitri Payet kutoka Marseille kwa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya zaidi ya pauni milioni 10.



Comments