Manchester United imekamilisha mbio sake za kumsaka kiungo wa Southapmton Morgan Scheneiderlin aliyekuwa anawaniwa pia na Arsenal. Ripoti zinadai kocha Loius van Gaal amefanikiwa kumnasa nyota huyo wa Kifaransa kwa ada inayokisiwa kufika pauni milioni 25. Gazeti la L'Equipe la Uraransa limedai Schneiderlin tayari amekubabalina na Manchseter United juu ya maslahi yake binafsi.
Comments
Post a Comment