SAMUEL ETO’O ATUA KUKAMUA UTURUKI


SAMUEL ETO'O ATUA KUKAMUA UTURUKI

29F3BB5000000578-0-image-a-3_1435236172218

Mshambuliaji Samuel Eto'o amejiunga na klabu ndogo ya Antalyaspor  iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Uturuki msimu huu.

Makao makuu ya klabu hiyo ni mji wa Antalya ambao Yanga iliwahi kuweka kambi miaka miwili iliyopita.

Kabla ya kutua hapo, Eto'o amewahi kuichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania, kabla ya Inter Milan ya Italia, Chelsea ya England na Everton ya England.



Comments