ROBIN VAN PERSIE AONYESHA UMAHIRI WA KUVUA SAMAKI





ROBIN VAN PERSIE AONYESHA UMAHIRI WA KUVUA SAMAKI
Mshambuliaji wa Manchester United, Robin van Persie anaonekana akifurahia  likizo yake ambapo alipigwa picha akiwa anavua samaki na alipagawa zaidi baada ya kumnasa papa.
Nyota huyo wa kimataifa wa Holland ambaye msimu uliopita ulikuwa mbaya kwake huku akifunga magoli 10 tu, hatima yake Old Trafford bado inayumba.
Vilabu kadhaa vimeonyesha nia ya kumtaka, lakini kocha Van Gaal aliweka wazi kuwa bado anahitaji huduma ya Van Perise mwenye umri wa miaka 31.
Robin van Persie settled for                  a more manageable catch after a day in the sun fishing                  turned dramatic
Robin van Persie akiwa amenasa papa
The Manchester United                  striker uses all his force to reel in the beast of the                  ocean with a helping hand
Van Persie mshambuliaji wa Manchester United akivua samaki
The sheer size of the                    shark become apparent after a good few minutes of hard                    graft using the rod





Comments