Roberto Firmino aliyesajiliwa kwa bei mbaya Liverpool, atavaa jezi namba 11 kama ambavyo huwa hivyo anapoitumikia timu ya taifa ya Brazil.
James Milner naye amepata bahati ya kupewa jezi namba 7 ambayo alikuwa akiivaa alipokuwa na Manchester City.
Jezi namba 7 ni moja ya jezi zenye heshima ya kipekee ndani ya Liverpool ikiwa imewahi kuvaliwa na nyota wenye historia ya kipekee kama Kevin Keegan, Kenny Dalglish na Luis Suarez.
Roberto Firmino atavaa jezi No 11 ya Liverpool ambayo ndio hula anavaa anapoitumikia Brazil
James Milner atavaa 7 kama ilivyokuwa Manchester City
Comments
Post a Comment