Real Madrid imekataa ofa ya Manchester            United ya pauni milioni 35 kwaajili kumsajili sentahafu wao            Sergio Ramos.
        United ilichukua hatua ya kupeleka ofa hiyo            Alhamisi katika kipindi ambacho beki huyo mwenye umri wa miaka            29 ameonyesha wazi nia ya kuondoka Hispania.
        Madrid wameipiga chini ofa hiyo na sasa            inadaiwa wanaangalia uwezekano wa kumalizana na Ramos ili            abakie Santiago Bernabeu ingawa beki huyo bado anataka kuona            safari yake ya kwenda Manchester United inafanikiwa.
        Real Madrid imekataa              ofa ya  Manchester United yenye thamani ya pauni  £35million              kwaajili ya Sergio Ramos
        Ramos huenda akaondoka              Real Madrid
        Ramos amekuwa Real              Madrid tang mwaka 2005
        
Comments
Post a Comment