Klabu ya Valencia ya Hispania imethibitisha kumteua mlinzi wa pembeni wa zamani wa Manchester United na England, Phil Neville kuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo.
Tweet hii hapa chini:
CLUB | Phil Neville joins #VCF coaching staff as assistant manager http://bit.ly/PhilN_VCF
Comments
Post a Comment