PHIL JONES ASAINI MIAKA MINNE MANCHESTER UNITED



PHIL JONES ASAINI MIAKA MINNE MANCHESTER UNITED
Beki wa Manchester United Phil Jones amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa minne ijayo.

Mlinzi huyo kiraka mwenye umri wa miaka 23, amejitia kitanzi kwenye kikosi cha Van Gaal hadi mwaka 2019.

Jones ambaye pia anaweza kucheza kama kiungo mkabaji, amesema ana furaha kubwa kusaini mkataba mpya Old Trafford.
Manchester United and                  England defender Phil Jones has put pen to paper on a                  new four-year deal
Beki wa Manchester United na  England Phil Jones akisaini mkataba mpya wa miaka minne Old Trafford 
Jones, pictured during the                    2014-15 campaign, said he was 'delighted' to have                    extended his stay at Old Trafford 
Pichani ni Jones  katika kampeni za msimu wa 2014-15 


Comments