Wanasoka wengi wametokea kupendelea kujichora miili yao (tatoo) lakini hawa wafuatao ndio wanatajwa kama wanasoka wanane wanaoongoza kwa kujiremba zaidi na tatoo.
1.Djibril Cisse
2.Tim Howard
3.Zlatan Ibrahimovic
4.Daniel Agger
5.Raul Meireles
6.Sergio Ramos
7.Marco Materazzi
8.David Beckham
Comments
Post a Comment