Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameendelea kufurahia maisha ya likizo huko Bahama akiwa pamoja na mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano baada ya kuitumikia klabu ya kwa msimu mzima pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.
Mtoto wa Ronaldo amekuwa kivutio kikubwa huko kwenye maeneo ya beach ya Bahama kwa kuonesha uweo mkubwa wa kusakata kabumbu na kuwashawishi watu kusema huenda akawa na kipaji kikubwa kwenye mchezo wa soka kama baba yake (Cristiano Ronaldo).
Comments
Post a Comment