Bosi wa Manchester City MANUEL PELLEGRINI amemshutumu kocha wa Chelsea Jose Mourinho kwa kusema ni mpenda majigambo.
Pellegrini amesema kocha huyo wa Chelsea anapenda kubebeshwa sifa zote pale timu yake inaposhinda badala ya sifa kwenda kwa timu nzima.
Comments
Post a Comment