Manchester United imekubali              kumsajili Nicolas Gaitan kutoka Benfica, wakala wake amethibitsha.
        Gaitan, 27, ni rafiki wa karibu na              Angel Di Maria na amekuwa akihusishwa na safari ya Old              Trafford kwa miezi mingi.
          Wakala wa Gaitan Jose Irribaren              amethibitsha kuwa kiungo huyo mshambuliaji anakwenda              Manchester United.
        
Comments
Post a Comment