Kiungo mkongwe wa            Juventus na Italia, 'Maestro' Andrea Pirlo anatarajia kusaini            mkataba wa miezi 18 katika klabu ya New York City FC            inayoshiriki ligi kuu ya Marekani, ingawa kutakuwa na            kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja ambao utamfanya akae            mpaka 2017.
        Pirlo mwenye miaka 38            ataanza mazoezi Julai 21 na atacheza mechi ya  kwanza ya ligi             Julai 26 dhidi ya Orlando City katika uwanja wa Yankee            Stadium 
        
Comments
Post a Comment