JACKSON MARTINEZ AITOSA RASMI ARSENAL NA KUJIUNGA NA ATLETICO MADRID


JACKSON MARTINEZ AITOSA RASMI ARSENAL NA KUJIUNGA NA ATLETICO MADRID
Mshammbuliaji nyota wa Porto Jackson Martinez ameweka wazi kuwa amekubali kujiunga na Atletico Madrid.
Kwa muda mrefu, Martinez, 28 alikuwa akihusishwa zaidi na uhamisho wa kwenda Arsenal ambao walikuwa tayari kulipa pauni milioni 25.
Hata hivyo 'muuaji' huyo ameamua kwenda Hispania badala ya Emirates na ameanguka mkataba wa miaka minne.
"Nathibitisha kuwa nakwenda Atletico Madrid," Martines aliwaambia waandishi wa habari.
MADRID BOUND: Jackson Martinez amefichua kuwa anamekubali kujiunga na Atletico 
"Nathibitsha kuwa najiunga na Atletico Madrid"
Jackson Martinez
"Nakwenda pale kwa miaka minne lakini bado sijui ni lini nitatambulishwa rasmi.
Natumai nitakuwa Mcolombia mwingine mwenye mafanikio pale kama ilivyokuwa kwa Falcao."



Comments