HIZI TAKWIMU ZINAONYESHA KWAMBA FIRMINO NI BORA KULIKO STERLING


HIZI TAKWIMU ZINAONYESHA KWAMBA FIRMINO NI BORA KULIKO STERLING

sta

Yale maneno ya Rio Fernand kwamba wachezaji wa England wanakua over priced ukifananisha na uwezo wao uwanjani imeanza kujipatia ukweli. Baada ya Sterling kukataa pound laki moja kwa wiki ambayo hiyo hiyo atalipwa Firmino akianza kazi na Liverpool, watu wameanza kufananisha uwezo wake na Sterling.

Takwimu zinaonyesha kwamba Firmino yupo juu zaidi kimchezo kwenye timu yake zaidi ya Sterling kwenye wastani wa vitu vingi zaidi ya Sterling. Vikiangaliwa vipengele vyote na ujumla wake Firmino anaonekana kuwa bora.

stati

Takwimu hizi zimetoka SkySport

dd

Takwimu hizi zimetoka whoscored



Comments