Nahodha            wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard jana amewasili Los            Angeles, Marekani akiwa na mke wake Alex Curran tayari kuanza            maisha mpya ya soka.
        Mara            baada ya msimu uliopita kumalizika, Gerrard, 34, aliachana na            klabu yake aliyokulia na kujiunga na LA Galaxy na anatarajia            kucheza mechi yake ya kwanza Julai 11 dhidi ya Club America.
        
Comments
Post a Comment