HILI NDO KINDA LA MIAKA 16 LILILODAKWA NA ARSENAL…


HILI NDO KINDA LA MIAKA 16 LILILODAKWA NA ARSENAL…

Screen-Shot-2015-06-24-at-10.42.52Arsenal wamemsajili nahodha wa timu ya taifa ya Romania ya vijana chini ya umri wa miaka 16, Vlad Dragomir, kwa muji wa shirika la habari la Reuters.

Kiungo huyo inasemekana amekataa kujiunga na mabingwa wa Romania Steaua Bucharest na kwenda Arsenal akitokea ACS Poli Timisoara.

"Nimefurahi sana,ni matumaini yangu kuwa sijamkasirisha yeyote. Niliona nafasi ya kwenda Arsenal ni nzuri kwangu, nahisi hapo ndio mahala pangu", amesema.



Comments