GARRY NEVILLE AITAHADHARISHA MANCHESTER UNITED ISIFANYE BIASHARA KICHAA YA SERGIO RAMOS WA REAL MADRID



GARRY NEVILLE AITAHADHARISHA MANCHESTER UNITED ISIFANYE BIASHARA KICHAA YA SERGIO RAMOS WA REAL MADRID
Garry Neville amehoji usahihi wa Manchester kutaka kumnunua beki Sergio Ramos kwa pauni milioni 40 pamoja na De Gea juu yake.
Nahodha huyo wa zamani wa Manchester United ameshindwa kuficha mshangao wake juu ya thamani ya Ramos wa Real Madrid.
United inataka biashara ya kubadilisha - De Gea aende Real Madrid, Ramos awasili Old Trafford lakini ripoti zinasema rais wa Real Madrid Florentino Perez anataka pauni milioni 40 PAMOJA na De Gea.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Neville ameandika: "Hizo ripoti zinasosema pauni milioni 40 pamoja na De Gea kwa Ramos? Hapana tafadhali! Sina ugomvi na Ramos lakini hii sio sahihi."


Man Utd legend Gary Neville hits out at Sergio Ramos              swap reports
MSHANGAO: Gary Neville amehoji usahihi wa dili la David De Gea kuhusishwa na Sergio Ramos 


Comments