CHELSEA YAKARIBIA KUMNASA NEYMAR MPYA ...ni pigo lingine kwa Louis van Gaal


CHELSEA YAKARIBIA KUMNASA NEYMAR MPYA ...ni pigo lingine kwa Louis van Gaal
Robert Kenedy Man Utd Chelsea
ANANUKIA CHELSEA:  Chelsea inaelekea kushinda vita vya kumsajili Kenedy 
Chelsea inakaribia kumnasa Kenedy kinda wa Kibrazil Kenedy kutoka Fluminense kwa ada ya pauni milioni 6.3.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 19, ambaye anatajwa kama "Neymar mpya" alikuwa pia akiwaniwa na Manchester United. 

Kwa mara nyingine tena, kocha wa Manchester United, Louis van Gaal anamkosa mmoja wa wachezaji aliopenda kuwa nao Old Trafford.

"Naipenda Chelsea kwaajili ya wachezaji kama like Oscar na Ramires"
Kenedy
Kenedy ameonyesha nia yake ya kujiunga na Chelsea akitaka kujumuika na nyota wenzake wa Brazil.
Kenedy alisema: "Nimekuwa na furaha kuichezea  Fluminense lakini lengo langu kubwa ni kucheza Ulaya.
"Naipenda Chelsea ya wachezaji kama Oscar na Ramires. Naipenda timu nzima kwa ujumla"
Kenedy of Fluminense celebrates his goal against                  Cruzeiro last year, at the Maracana Stadium


Comments