BAYERN MUNICH KUMSAJILI DOUGLAS COSTA KWA PAUNI MILIONI 24


BAYERN MUNICH KUMSAJILI DOUGLAS COSTA KWA PAUNI MILIONI 24
Bayern Munich inakaribia kumsajili kiungo wa Kibrazil Douglas Costa kutoka Shakhtar Donetsk  kwa dau la pauni milioni 25.
Mabingwa hao wa Bundesliga tayari wana makubaliano ya mdomo na Shakhtar Donetsk pamoja na  Douglas mwenyewe huku makubaliano rasmi yakitarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Chelsea ilitaka kumsajili Douglas mwezi Januari mwaka huu lakini ikaamua kumchukua Juan Cuadrado kutoka  Fiorentina.
Wiki iliyopita Douglas alisema: "Kwa miaka mingi nimekuwa nikisubiria kuichezea moja ya klabu kubwa za barani Ulaya na kama nafasi hiyo itatokea nitafurahiu sana".
Bayern Munich are closing                    in on a £25million deal to sign Shakhtar Donetsk                    attacker Douglas Costa
Bayern Munich inakaribia kumsajili Douglas Costa kwa  £25million kutoka  Shakhtar Donetsk  
Brazil international                    Douglas (left) is currently on international duty at                    the Copa America in Chile
Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Douglas (kushoto) kwa sasa anaiwakilisha  nchi yake kwenye michuano ya Copa America huko Chile
The 24-year-old Brazilian                    midfielder caught the attentions of Chelsea manager                    Jose Mourinho in January Douglas, 24 alimvutia kocha wa  Chelsea  Jose Mourinho 




Comments