BALE, PIRLO, WAMSINDIKIZA LAMPARD KUISHUHUDIA TIMU YAKE MPYA IKISHINDA GOLI 3-1

BALE, PIRLO, WAMSINDIKIZA LAMPARD KUISHUHUDIA TIMU YAKE MPYA IKISHINDA GOLI 3-1

NYC 6
Jana usiku mkongwe wa klabu ya Chelsea Frank Lampard alihudhuria mechi ambayo timu yake ya New York City ilipokuwa ikicheza dhidi ya New York Red Bulls kwenye dimba la Yankee Stadium jijini New York Marekani mchezo uliomalizika kwa New York City kuibuka na ushindi wa goli 3-1.

Mbali na mkali huyo wa zamani wa timu ya Uingereza, winga wa Real Madri Gareth Bale na kiungo wa Juventus ambaye anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya New York City pia walikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo.

NYC 1

Pirlo akiingia uwanjani kabla ya mchezo kuanza

Pirlo akiingia uwanjani kabla ya mchezo kuanza

Pirlo akiwa jukwaani akifuatilia mechi kwa makini

Pirlo akiwa jukwaani akifuatilia mechi kwa makini

Bale akiingia uwanjani kushuhudia mtanange huo

Bale akiingia uwanjani kushuhudia mtanange huo

NYC 4

NYC 5

Comments