Kinda huyo wa miaka 16 ambaye ana uwezo wa kucheza pembeni au katikati ya uwanja eneo la kiungo, ni tegemeo la kikosi cha timu ya taifa ya Romania chini ya 16.
"Vlad ni moja ya vipaji bora vinavyochipikia kwa sasa barani Ulaya"Catalin Sarmasan
Ripoti kutoka Romania zinasema Vlad Dragomir amesaini mkataba wa miaka mitatu ambao kwa upande wa Arsenal ulishuhudiwa na Dick Law.
Arsenal ilikuwa ikichuana na Inter Milan katika kusaka saini ya Vlad Dragomir.
Comments
Post a Comment