ARDA TURAN moyo wake umejiandaa kwa safari ya Chelsea na sio Manchester United kama ilivyokuwa inavumishwa.
Nyota huyo wa Kituruki ana kiu ya kuondoka Atletico Madrid kiangazi hiki na vilabu kadhaa vimekuwa vikijiandaa kufika bei ya pauni milioni 29 ambayo ndiyo kifungo chake cha kuvunja mkataba.
Hata hivyo Daily Mail limeandika kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anataka kufanya kazi chini ya Jose Mourinho.
Comments
Post a Comment