WACHAMBUZI WA SOKA WAMCHAMBUA RAHEEM STERLING MPAKA BASI ...wasema mchango wake Liverpool ni kiduchu
Baada ya Raheem Sterling kusema anataka kuondoka Liverpool ili kushinda mataji ikiwa ni sambamba na kuona ofa ya pauni 100,000 kwa wiki ni ndogo kwake, sasa wachambuzi wa soka wamemshukia na kusema hana mchango uliotukuka kwenye klabu hiyo.
Wachambuzi hao wanasema ukilinganisha na msimu huu na ule uliopita utagundua kuwa mchango wa Raheem Sterling unaporomoka badala ya kupanda.
Baada ya michezo 33 msimu uliopita, Sterling alikuwa na magoli tisa kutoka kwenye mashuti 33, lakini msimu huu amefunga mara saba katika mashuti 62 kwenye michezo 35.
Alikokota mipira kwa mafanikio ya asilimia 59 msimu uliopita lakini msimu huu ameshuka hadi asilimia 44.2.
Tazama takwimu zinazoonyesha wachezaji waliotoa mchango mkubwa kwenye timu zao.
UKOKOTAJI WA MPIRA
281 – Eden Hazard (Chelsea)
233 – Yannick Bolasie (Crystal Palace)
233 – Raheem Sterling (Liverpool)
213 – Wilfried Zaha (Crystal Palace)
210 – Alexis Sanchez (Arsenal)
UKOKOTAJI WA MPIRA ULIOKAMILIKA
170 – Eden Hazard (Chelsea)
111 – Alexis Sanchez (Arsenal)
105 – Philippe Coutinho (Liverpool)
103 – Raheem Sterling (Liverpool)
89 – Yannick Bolasie (Crystal Palace)
Takwimu zinaonyesha Sterling ameporomoka
WALIOCHEZA KWA DAKIKA NYINGI LIVERPOOL
3,165 – Jordan Henderson
3,134 – Simon Mignolet
3,050 – Raheem Sterling
2,880 – Martin Skrtel
2,709 – Philippe Coutinho
WATENGENEZAJI WAZURI WA NAFASI
95 – Cesc Fabregas (Chelsea)
93 – Eden Hazard (Chelsea)
91 – David Silva (Man City)
85 – Stewart Downing (West Ham)
80 – Christian Eriksen (Tottenham)
79 – Jesus Navas (Man City)
75 – Raheem Sterling (Liverpool)
74 – Alexis Sanchez (Arsenal)
73 – Gylfi Sigurdsson (Swansea)
WAPIKAJI WA MAGOLI
18 – Cesc Fabregas (Chelsea)
10 – Gylfi Sigurdsson (Swansea), Angel di Maria (Man Utd)
9 – Santi Cazorla (Arsenal), Leighton Baines (Everton), Chris Brunt (West Brom), Jordan Henderson (Liverpool)
8 – Jesus Navas, Sergio Aguero (Man City), Jamie Vardy (Leicester), Matt Phillips (QPR), Alexis Sanchez (Arsenal), Stewart Downing (West Ham), Eden Hazard, Oscar (Chelsea)
7 – Jefferson Montero (Swansea), David Silva (Man City), Erik Lamela (Tottenham), Raheem Sterling(Liverpool), Jason Puncheon (Crystal Palace), Dusan Tadic (Southampton)
Sterling amemwambia mocha Rodgers kuwa anataka kuondoka Liverpool
PASI ZENYE MACHO
1st: Cesc Fabregas (Chelsea) – 2,336
2nd: Yaya Toure (Man City) – 2,091
3rd: Nemanja Matic (Chelsea) – 1,916
4th: Eden Hazard (Chelsea) – 1,843
5th: Santi Cazorla (Arsenal) – 1,842
91st: Raheem Sterling (Liverpool) – 919
Sterling ametoa pazi 919 tu na kushika nafasi ya 91
KROSI ZILIZOKAMILIKA
58 – Kieran Trippier (Burnley)
52 – Ahmed Elmohamady (Hull)
42 – Stewart Downing (West Ham)
37 – Dusan Tadic (Southampton)
30 – Alan Hutton (Aston Villa)
29 – Ashley Young (Man Utd), Ryan Bertrand (Southampton)
26 – Jesus Navas (Man City)
24 – Yannick Bolasie (Crystal Palace)
23 – Angel di Maria, Antonio Valencia (Man Utd)
22 – Carl Jenkinson (West Ham), Daryl Janmaat (Newcastle)
21 – Aaron Cresswell (West Ham), Chris Brunt (West Brom)
19 – Danny Rose (Tottenham), Adam Johnson (Sunderland)
18 – Raheem Sterling (Liverpool), Riyad Mahrez (Leicester), Robbie Brady (Hull), Mauricio Isla (QPR)
MASHUTI YALIYOLENGA GOLI
59 – Sergio Aguero (Man City)
51 – Charlie Austin (QPR)
46 – Alexis Sanchez (Arsenal)
45 – Harry Kane (Tottenham)
42 – Romelu Lukaku (Everton)
38 – Graziano Pelle (Southampton)
37 – Robin van Persie (Man Utd)
37 – Saido Berahino (West Brom)
36 – Diego Costa (Chelsea)
35 – Wilfried Bony (Swansea)
33 – Philippe Coutinho (Liverpool)
33 – Raheem Sterling (Liverpool)
Comments
Post a Comment