WACHAMBUZI wawili wa soka katika Televisheni ya Sky Sports, Gary Neville na Jamie Carragher wamechagua timu zao bora za msimu wa ligi kuu England (2014/2015), huku nyota wa zamani wa Manchester United, Neville akichagua wacheza 8 kutoka Chelsea kwenye kikosi chake wa wachezaji 11.
Carragher amechagua wachezaji sita (6) kutoka kikosi cha ubingwa cha Jose Mourinho, wakati kiungo wa Liverpool, Philipe Coutinho hajatokea kwenye kikosi cha yeyote.
Katika kipindi cha 'The Monday Night Football' wawili hao wamekubaliana katika wacheza 9 kati ya 11 ambao kila mmoja amependekeza, lakini wametofautiana kwa beki mmoja na mshambuliaji mmoja pia.
Neville amemtaja Gary Cahil kama beki bora zaidi
MNF AWARDS NIGHT 2015
GOAL OF THE SEASON:
Carragher: Adam
Neville: Chelsea team goal v Crystal Palace
PLAYER OF THE SEASON:
Eden Hazard
YOUNG PLAYER OF THE SEASON:
David de Gea
NEWCOMER OF THE YEAR:
Carragher: Alexis Sanchez
Neville: Thibaut Courtois
MANAGER OF THE YEAR:
Ronald Koeman
MOMENT OF THE SEASON:
Carragher: Cesc Fabregas vs Burnley
Neville: Juan Mata vs Liverpool
Comments
Post a Comment