Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi mbili maarufu EPL na La Liga.
Jose akiwa kwenye interview na talksport alisema kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya La Liga na EPL kwasababu yeye ana uzoefu na ligi zote mbili. Amesema kwamba mambo yangekua tofauti kwa Barcelona na Real Madrid kama wangekua kwenye ligi ya uingereza.
Nilikua Spain lakini sikui-ejoy kwasababu nilishinda ubingwa kwa rekodi ya points 100 na magoli 121. Mambo ni tofauti hapa England inabidi uwe tayari kwa kila mechi. Utayari wako sio wa kimchezo tu, bali hata kiakili.Sidhani kama wangezea kutawala EPL kama La Liga.
Comments
Post a Comment