MANUEL NEUER KATIKA UBORA WAKE!


MANUEL NEUER KATIKA UBORA WAKE!
Eccentric German              goalkeeper Neuer was at his acrobatic best to deny Neymar a              clear run on goal - heading away any danger
Wakati mwingine kipa wa Bayern Manuel Neuer huwa ni zaidi ya beki, kutoka nje ya eneo lake na kwenda kuucheza mpira kwa mguu au kwa kichwa ni jambo la kawaida kwake, wala halimpi shida.
Katika mchezo wa Bayer Munich dhidi ya Barcelona usiku wa Jumatano, Neuer alionyesha umahiri wake kwa kutoka kwenye lango lake na kwenda kuruka kama mkizi na kuondosha mpira kwa kichwa huku Neymar akibakia kubutwaa.
Bayern ilishinda 3-2 lakini ikaaga Ligi ya Mabingwa kwa jumla ya bao 5-3.






Comments