MANCHESTER UNITED U21 YAICHAKAZA MANCHESTER CITY U21 BAO 4-0 …Adnan Januzaj na James Wilson watakata



MANCHESTER UNITED U21 YAICHAKAZA MANCHESTER CITY U21 BAO 4-0 …Adnan Januzaj na James Wilson watakata
United forward Januzaj tries to break away but he is            well-tracked by City midfielder Evans 
Adnan Januzaj ameng'ara na kuiongoza Manchester United kuaingamiza Manchester City 4-0 katika mchezo mkali wa vijana chini ya miaka 21.
Kwa ushindi huo, United sasa imebakiza pointi moja tu kunyakua ubingwa wa England wa vijana chini ya umri wa miaka 21 na hivyo kuwafuta machozi kaka zao ambao wanamaliza msimu mikono mitupu.
Magoli ya Manchester United yalifungwa na James Wilson ambaye nae aling'ara sana, Adnan Januzaj, Ashley Fletcher na Ashley Fletcher.
MANCHESTER UNITED: J Pereira; Love, Thorpe, Blackett, Kellett; Weir, James, Grimshaw, Rothwell (Willock 76), Januzaj (Fletcher 73); Wilson (El Fitouri 88).
Manager: Warren Joyce
MANCHESTER CITY: Gunn, Smith-Brown (Byrne 61), Maffeo, Evans, Tasene, Bryan, Nemane, Fofana (Glendon 78), Hiwula, Garcia, Barker (Pozo 55).
Manager: Patrick Vieira.  
James Wilson fires                  Manchester United into an early lead following a superb                  through ball from Adnan Januzaj
James Wilson akifunga baada ya kupokea pasi maridadi kutoka kwa  Adnan Januzaj
Wilson watches on as his                  sublime finish sends Manchester City keeper Angus Gunn                  the wrong way 
Wilson akiangalia namna alivyomuuza kipa Manchester City  Angus Gunn  
The United forward races                  away to celebrate following his early strike at Old                  Trafford 
Wilson akishangilia bao lake Old Trafford 
Wilson salutes Januzaj after                  the Belgian's sublime pass put him clean through on                  goal 
Wilson akimpa shukran Januzaj kwa pasi murua
Manchester City U21 boss              Patrick Vieira (right) watches on during the opening              exchanges at Old Trafford
Kocha wa City Vieira (kushoto) akiduwaa kwa kipigo



Comments