MAMBO 8 YATAKAYO KUACHA NA KICHEKO KUHUSU UEFA CHAMPIONS.


MAMBO 8 YATAKAYO KUACHA NA KICHEKO KUHUSU UEFA CHAMPIONS.

UEFA

1.Kuna Ronaldo na Benzema lakini kuna Chiellini na Bonucci, hawa washkaji ni mguu wa shingo mguu wa roho.
2. Achana na goli la Morata wala nguvu za Tevez kuna mtu anaitwa Arturo Vidal huyu jamaa yeye ni kazi na shughuli.
4. Juventus wanajua kukaba na wanajua kupress, usishangae Waitaliano hawa kuleta balaa bila kutegemea pale Berlin
3. Bale samahani sana ila pale ndiyo Madrid hawajui kukosa wala bahati mbaya, ile fee ya pauni 86m hulipwa kwa magoli.
4. Carlo Ancelotti kila la kheri uendako,sioni ni kivipi utabaki Madrid hasa ukizingatia wana Perez.
5. Ronaldo dah huu ni mwaka wa njaa aisee na kama Leo atanyakua UCL na kuwa top scorer ndiyo basi tena Ballon dOr itarejea kulekule.
6. Toni Kroos pasi zako nzuri na ziko accurate ila napata shaka na ukabaji wako lakini pia unakosa "sharpness where it matters".
7. Kila unapoiangalia mikono ya Iker Cassilas ndipo unapopata hisia za kwanini dili la De gea lisishike kasi.
8. Achana na Ronaldo, Benzema, Bale na kina Marcelo kuna dogo anaitwa James Rodriguez, mshikaji mpira unampenda na unamtii. Hatembei kwenye kivuli cha Ronaldo huyu.



Comments