Kocha wa Sunderland Dick Advoccat alijikuta akilia baada ya mchezo dhidi ya Arsenal kumalizika kwa sare ya 0-0 na hivyo kupata pointi moja muhimu kwao.
Pointi hiyo moja ilitosha kuwahakikishia Sunderland kubaki Ligi Kuu msimu ujao na hapo ndipo kilicho cha furaha cha Dick Advoccat kilipokuja.
Kocha wa Sunderland Dick Advoccat akiangusha kilio cha furaha baada ya kupona janga la kushuka daraja
Advocaat akikumbatiana na kiungo Lee Cattermole huku akilia baada ya mchezo dhidi ya Arsenal
Advocaat anamkumbatia kipa Costel Pantilimon ambaye aliokoa michomo mingi sana
Comments
Post a Comment