Manchester United imeripotiwa kuweka mezani ofa ya kuwasajili kwa mpigo mastaa wawili wa Bayern Munich, Bastian Schweinsteiger na Dante.
Licha ya kushinda taji la Bundesliga wiki kadhaa kabla ya ligi kumalizika, kikosi cha Pep Guardiola kimeanguka chini ya matarajio msimu huu, na kinatarajiwa kufumuliwa na kusukwa upya kiangazi hiki.
Schweinsteiger na Dante wanaweza kuwa nje ya mipango ya kujenga upya kikosi hicho na kwa mujibu wa ripoti kutoka Ujerumani, United imewasilisha ofa kuwabeba nyota hao.
Schweinsteiger na Dante wanaweza kuwa nje ya mipango ya kujenga upya kikosi hicho na kwa mujibu wa ripoti kutoka Ujerumani, United imewasilisha ofa kuwabeba nyota hao.
Comments
Post a Comment