Arsenal imeanzisha maongezi na Chelsea juu ya kupata saini ya kipa Petr Cech kwa pauni milioni 10.
Lakini inadaiwa kuwa Paris Saint-Germain nayo pia imewasiliana na mabingwa hao wa Barclays Premier League kwaajili ya mlinda mlango huyo wa kimataifa wa Ubelgiji.
Inaaminika kipa huyo mwenye umri wa miaka 32 pamoja na familia yake wangependa kubakia London, hali inayowaweka Arsenal kwenye nafasi nzuri kupata saini yake.
Arsenal imeanzisha maongezi Chelsea juu ya kipa Petr Cech
Comments
Post a Comment