Yanga Bingwa msimu wa 2014/15



Yanga Bingwa msimu wa 2014/15
 Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya
Tabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshida 4-1. (Picha na Francis
Dande)
 Mashabiki
wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.
 Mshambuliaji
Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.
Shabiki wa Yanga akifurahia bao la pili la timu yake.

 Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezona Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.

 Amis Tambwe akipokea mpira baada ya kufunga"Hat Trick"

 Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akishangilia baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

 Mashabiki wakishangilia.



Comments