Roman Abramovich Mmiliki wa Chelsea afanya kufuru Israeli.



Roman Abramovich Mmiliki wa Chelsea afanya kufuru Israeli.

1israel 5

Ametia saini ya kununua hoteli kwa paundi million 17  Varsano Hotel Tel Aviv.

  • Roman Abramovich mmiliki wa Chelsea amenunua holeeli hiyo ya kifahari kwa paundi millioni 17
  • Amenunua hoteli hiyo ya kuifahari na kuibadilisha kua makazi yake.
  • Hoteli hiyo ni sehemu ya hifadhi ya taifa na inaukubwa wa mita 15000.israel 3

 

Roman Abramovich amenunua jumba hilo kwa thamani ya milion 100 kw pesa ya israeli { shekels} ambayo inathamani ya paundi million 17.

Mmiliki huyo wa klabu ya Chelsea yenye maskani yake jijini London amekua na safari nyingi sana za kibiashara jijini Tel aviv, anatarajiwa kubadili jengohilo la karne 19 ndani ya nyumba yake Israel.
kuna mita za mraba 1,500, katika hoteliinayotajwa kama jengo salama. kuna jengo kuu na ambalo lina, dining, vyumba viwili vya studio, na zaidi ya vyumba sita katika majengo matatu ya kifahari tofauti yaliyozungukwa na bustani.

Abramovich finally got his wish after trying to buy a            home in the Neve Tzedek quarter of Tel Aviv since 2008

Pamoja na ununuzi wa sehemu ya Hifadhi ya gari, ambayo ni tayari ina kibali kwa ajili ya ujenzi wa ziada, na itawezesha Abramovich kupanua majengo.

Abromovich amenunua hoteli hiyo kutoka kwa mfanyabiashara wa ndani wa nchi hiyo na amekua akitaka kununua nyumba katika jiji hilo la tel aviv tangu mwaka 2008 pale alipotenga kitita cha paundi milion 30 kwa manunuzi ya jumba la Chelouche House,ambapo alikatataliwa ofa yakeisrael 4

Jumba hilo la hoteli lilijengwa karne ya 19 kaskazini mwa mji wa jaffa

Hadi miaka ya 1980 eneo lilikuwa limejaa makazi duni lakini katika siku za karibuni pamoja na Israel kuendelea hasa katika suala zima la teknolojia eneo hilo liliendelea na baadae kua enaeo ghali zaidi ya Israeli.

Roman Abramovich has bought Tel Aviv's Varsano Hotel for            £17.1million as he splashes out on the property

Mfanyabiashara Eyal Amir na wakala mali isiyohamishika Oren Katz ni kuelewa kuwa mpango huo uliandaliwa, na kampuni ya sheria ya Tel Aviv Yigal Arnoni & Co walienda niaba ya Abramovich. Waandishi wa habari ambao walimpigia simu Varsano Hotel waliambiwa kwamba hawafanyi tena huduma zozote zaidi.

 

 

 



Comments